Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai Mara Jamaa mmoja akamuuliza unalia nn Chizi akajibu nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza bado maji yana chumvi
Jamaa kang'atwa na nyoka akaaza kucheka hadi machozi yanamtoka Watu wakamuuliza ""Unacheka nini wakati umeng'atwa na nyoka?"" Jamaa akajibu " nina msikitikia sana huyo nyoka kwasababu mimi nina ukimwi
Nimesikia jamaa moja akilalamika kuwa amefanya kazi kwa miaka 20 na hajaona matunda yake Stori hii ilinigusa sana Sasa hivi niko njiani na washikaji tuna mpelekea Machugwa ,Maembe na Mapapai ili ayaone Yan mm nina huru ma sana
Mlevi alikuwa akitafuta njia kumwambia shemegi ake kuhusu kifo cha kaka ake pasipo kushtuka Mlevi: hodi, shem Shem: karibu, ingia Mlevi: mumeo kakuolea mke wa pili Shem: mungu amlaani afe Mlevi: vijana ingizeni maiti ndani Mambo shwari
watoto kwa kuropoka noma sana Mgen aliuliza mbona paka wenu ananiangalia sana????????????? mtoto akaroboka labda kwasababu wamekupakulia kwenye sahani yake sasa hapo kama ww ndio mgeni ungefanyaje ?????