Chizi noma

Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai

Mara Jamaa mmoja  akamuuliza unalia nn

Chizi akajibu  nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza  bado maji yana chumvi

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii