Jamaa Noma

Jamaa kang'atwa na nyoka akaaza kucheka hadi machozi  yanamtoka

Watu wakamuuliza

""Unacheka nini wakati umeng'atwa na nyoka?""

Jamaa akajibu

" nina msikitikia sana huyo nyoka kwasababu mimi nina ukimwi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Chizi noma