Hii kali Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Septemba 10, 2017 Namshukuru mungu kwa kumaliza elimu ya msingi nina imani kubwa mwakani nitaanza elimu ya ukuta Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Maoni
Chizi noma Septemba 17, 2017 Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai Mara Jamaa mmoja akamuuliza unalia nn Chizi akajibu nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza bado maji yana chumvi Endelea kusoma
Lazima kupambana Septemba 16, 2017 Usipopambana ukiwa kijana ukifa histaria yako itakuwa fupi Marehemu alizaliwa , akazururazurura , akafa Endelea kusoma
Maoni
Chapisha Maoni