Mgeni noma
Mlevi alikuwa akitafuta njia kumwambia shemegi ake kuhusu kifo cha kaka ake pasipo kushtuka
Mlevi: hodi, shem
Shem: karibu, ingia
Mlevi: mumeo kakuolea mke wa pili
Shem: mungu amlaani afe
Mlevi: vijana ingizeni maiti ndani Mambo shwari
Maoni
Chapisha Maoni