watoto kwa kuropoka noma sana
Mgen aliuliza mbona paka wenu ananiangalia sana?????????????
mtoto akaroboka labda kwasababu wamekupakulia kwenye sahani yake
sasa hapo kama ww ndio mgeni ungefanyaje ?????

Maoni
Chapisha Maoni