Englishi noma Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Septemba 09, 2017 Eti kale kamsemo kanakosema "Pambana na hali yako" kwa kingereza si "Cotton and condition of you" Maana kuna kamzungu kananizingua sana Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Maoni
Chizi noma Septemba 17, 2017 Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai Mara Jamaa mmoja akamuuliza unalia nn Chizi akajibu nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza bado maji yana chumvi Endelea kusoma
Lazima kupambana Septemba 16, 2017 Usipopambana ukiwa kijana ukifa histaria yako itakuwa fupi Marehemu alizaliwa , akazururazurura , akafa Endelea kusoma
Maoni
Chapisha Maoni