Kiherehere Noma
Jamaa kaenda ukweni kwa wahindi alipofika akaona shemeji yake anakimbiza kuku ghafla yule kuku akakamatwa
Jamaa akaropoka
"Msiweke pilipili kwenye mchuzi mimi situmii"
Mama mkwe akajibu
"Mwanangu tunataka tumpedawa wala hatu mchinji tumesha bandika maharage"
Maoni
Chapisha Maoni