hello , karibu sana kwa sababu nimewaandalia vitu vizuri sana nawahaidi kuwa nitawapa vitu vyenye ubora ila chamsingi andaeni mbavu zenu zisije kuvunjika
Chizi noma
Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai Mara Jamaa mmoja akamuuliza unalia nn Chizi akajibu nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza bado maji yana chumvi
Maoni
Chapisha Maoni