Machapisho

Kwel au

Picha

Ndoto ni kitu cha ajabu sana

Yani ukaota umeokota hela  asubuhi ukiamka akuna kitu Ukaota umeokota dhahabu ukiamka asubuhi akuna kitu Sasa ukaota umekojoa asubuhi akiamka imoooo.

Chizi noma

Chizi kakaa pembeni ya bahari akiwa analia sana anaonekana kama mtu aliyepoteza matumaini huku akiwa kashika kijiko cha chai Mara Jamaa mmoja  akamuuliza unalia nn Chizi akajibu  nimeweka vijiko kumi lakini chakushangaza   bado maji yana chumvi

Lazima kupambana

Usipopambana ukiwa kijana   ukifa histaria yako itakuwa fupi Marehemu alizaliwa , akazururazurura , akafa

Sitasahau

Sitasahau siku ambayo nilitoka nyumban kiwaacha wanachambua mchele narudi jioni nakuta wamepika ugali So sad

Kiherehere Noma

Jamaa kaenda ukweni kwa wahindi alipofika akaona shemeji yake anakimbiza kuku ghafla yule kuku akakamatwa Jamaa akaropoka "Msiweke pilipili kwenye mchuzi mimi situmii" Mama mkwe akajibu "Mwanangu tunataka tumpedawa wala hatu mchinji tumesha bandika maharage"